Habari wapendwa na ndugu katika Kristo? nawasalimu kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo.
Napenda kuwashukuru sana THISDASO MZUMBE na MARAFIKI zetu kwa kujitoa
kwenu katika kufanikisha kazi ya Mungu kwa mioyo na zaidi kwa michango
yenu mhimu sana. Sasa baada ya kutoka katika Effort na sabato ya wageni,
Mungu anatuongoza katika Video recording ya kwaya yetu na Effort Kubwa
sana kipindi cha likizo ya February. Hivyo natumia tena nafasi hii
kuwasihi kutoa michango yenu kama ambavyo Roho wa Mungu amekuwa
akiwaongoza ili kuendeleza kazi yake.
Upatapo habari hii, tafadhali shiriki baraka za Mungu kwa kumwambia na mwenzako.
BWANA akubariki sana.
Mujaya MJ, Mwenyekiti wa tawi.
No comments:
Post a Comment